Kamati za Zaka hukusanya mali za Zaka na Sadaka, na kuwapa wanaostahiki, na baadhi ya vijana wasio na uwezo wa kuoa wanaziomba ili kuwasaidia kukamisha taratibu za ndoa, na kutoa matangazo ya kukusanya pesa ili kuwaozesha, je kunajuzu mali hizi kuwa ni mali zilizotengwa kwa ajili ya Zaka?
Soma zaidi....
Je! Inajuzu kutoa mali ya Zaka baadhi yake au yote, katika matumizi ya kozi za kimafunzo kwa wanafunzi wa masomo ya Dini ili kuboresha utendaji wao wa kidaawa na kupata mbinu muhimu za kutekeleza wajibu wao? Pamoja na kujua kuwa hawa wanafunzi pato lao halikidhi matumizi yao?
Soma zaidi....
Ni Nini hukumu ya kisharia ya Zaka juu ya mapambo yanavyotumika kwa ajili ya kujiremba?
Soma zaidi....
Ninaweka sehemu ya mshahara wangu ili kununua mikufu na bangili za dhahabu kwa mabinti zangu ili niviuze baadaye na viwasaidie katika maandalizi ya ndoa. Je! Inapasa Zaka katika pesa hiyo?
Soma zaidi....
Katika juhudi za “Mfuko wa Ijumaa” wa taasisi ya “Al-Ahram” katika kusaidi kutatua matatizo ya vijana, kwa kuwapatia fursa za kazi na kuwasaidia katika kuoa kwa kununu vifaa na kuwalipia kodi, na baada ya wasomaji wetu wengi kutaka kusaidia kwa mali za Zaka na sadaka, tunajiandaa kufungua akaunti maalumu kwa lengo hili, na ili tunayoyafanya yaendane na yale yanayoamrishwa na Sharia Tukufu, tunataka kujua kutoka kwa Mashekhe zetu uhalali wa kutoa mali za Zaka kwa lengo hili. Pia je! Kunajuzu kuwakopesha hawa vijana, ili mkopaji awekeze pesa aliyokopa, na kulipa hata kama kwa awamu? Pia tunaomba mtuwekee wazi makundi mengine ya kupewa Zaka kama mlivyopenedekeza, kwa namna vijana wapambanaji watafaidika ambao wanapata tabu kutafuta chakula chao na cha familia zao.
Soma zaidi....
Muulizaji anasema kwamba mtoto wa mama yake mdogo amekopa pesa ili imwezeshe kupata nyumba kutokana na kuanguka nyumba yake, na hali yake haimwezeshi kulipa pesa hiyo, na anauliza, je! Kunajuzu kulipa deni lake kwa kukopa mali ya Zaka?
Soma zaidi....
Kamati ya Zaka ya Jumuiya hukusanya zaka, sadaka, na michango na kuwagawia wanaostahiki. Baadhi ya vijana wasio na uwezo wa gharama za ndoa, hufika kwa kamati ili kupata msaada wa ndoa zao, na jumuiya inatoa msaada wa mali na kifedha kwa ndoa zao. Je, inajuzu pesa hizo za zaka hutumika katika mambo hayo?
Soma zaidi....Hukumu ya Kutoa Zaka ili Kupatikana Fursa za Kazi na Kusaidia Kuoa, pamoja na kukopesha Mali ya Zaka
Katika juhudi za “Mfuko wa Ijumaa” wa taasisi ya “Al-Ahram” katika kusaidi kutatua matatizo ya vijana, kwa kuwapatia fursa za kazi na kuwasaidia katika kuoa kwa kununua vifaa na kuwalipia kodi, na baada ya wasomaji wetu wengi kutaka kusaidia kwa mali za Zaka na sadaka, tunajiandaa kufungua akaunti maalumu kwa lengo hili, na ili tunayoyafanya yaendane na yale yanayoamrishwa na Sharia tukufu, tunataka kujua kutoka kwa Mashekhe zetu uhalali wa kutoa mali za Zaka kwa lengo hili. Pia je! Kunajuzu kuwakopesha hawa vijana, ili mkopaji awekeze pesa aliyokopa, na kulipa hata kama kwa awamu? Pia tunaomba kutuwekea wazi makundi mengine ya kupewa Zaka kama mlivyopenedekeza, kwa namna vijana wapambanaji watafaidika ambao wanapata taabu kutafuta chakula chao na cha familia zao.
Soma zaidi....
Arabic
Englsh
French
Deutsch
Urdu
Pashto
Hausa
