Rafiki yangu ni Muislamu ambaye amebadilisha jinsia. Alifanyiwa upasuaji wa kubadilisha jinsia kutoka mwanaume kwenda mwanamke, na sasa ana viungo vya kike. Ameishi kwa muda fulani kama mwanamke. Sasa anataka kurudi kwenye jinsia yake ya asili na kuwa mwanaume kwa maisha yake yote, licha ya kupoteza viungo vyake vya kiume. Sasa ni mwenye kutubu, anahisi huzuni na anajinyenyekeza kwa rehema na msamaha wa Mwenyezi Mungu kwa dhambi kubwa aliyoifanya.
Maswali ni haya yafuatayo:
Atachukuliwa kuwa wa jinsia gani kisheria ya Kiislamu?
Je, anaruhusiwa kufunga ndoa?
Anaweza kuoa au kuolewa na jinsia gani?
Je, swala yake inahesabika kuwa sahihi?
Je, anaruhusiwa kuswali msikitini kama mwanaume?
Je, bado anahesabika kuwa Muislamu?
Je, anaruhusiwa kuhiji au kufanya Umra?
Soma zaidi....
Mimi nimeolewa tangu miaka kumi na mbili iliyopita na mume wangu ananiomba tutazame pamoja filamu za ngono au atizame pekee yake, kiasi ambacho humpelekea mwishoni kupiga punyeto, na hali hii imesababisha matatizo mengi katika maisha yetu. Na kila mara anakariri kuwa hayupo radhi na mimi, na kwamba mimi siyo kama wanawake wengine, katika baadhi ya nyakati mimi huwa ninadhani kwamba mimi ni sababu ya kupiga kwake punyeto. Nanajisemea moyoni kwamba kama nikikubali kutazama aina hii ya filamu labda atakidhi haja yake pamoja nami kwa njia ya halali. Swali langu ni: Je ni lazima kumtii katika jambo hili au ni lazima niendelee na msimamo wangu wa kukataa kutazama filamu hizi pamoja naye? Ni muhimu kutajwa kuwa yeye anaswali, anatoa sadaka nyingi, na pia alifanya Umrah. vile vile, ana tabia njema ingawa ana kasoro hii.
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya kisharia kuhusu kuchanganyika kwa vijana wa kiume na wa kike katika bustani za umma na kufanya baadhi ya matendo yanayokiuka maadili na haya? Je! mtu anapaswa afanye nini anapoona matukio kama haya? Hasa kwa kuzingatia kuwa sharia ya Kiislamu inasisitiza kuwa anayeyaona maovu, basi ayarekebishe?
Soma zaidi....
"Kulitokea mjadala kati yake na kaka yake mkubwa kwa sababu alikuwa anawapeleka mabinti zake shule — na ni mabinti wanne. Kaka yake alimwambia kuwa si sahihi kwa msichana kupata elimu, na kwamba msichana anayesoma ni mbaya kitabia. Muulizaji anataka kujua hukumu ya Kiislamu kuhusu elimu ya msichana."
Soma zaidi....
Baadhi ya vijana na baadhi ya wale wanaohusika na misikiti katika eneo fulani la makazi wametoa Fatwa ya kuharamisha mafundisho ya kidini kwa wanawake ndani ya misikiti. Tunamshuhudia Mwenyezi Mungu kwamba mafundisho haya yamewafaidisha na kuwaelekeza wanawake wengi katika eneo hilo. Muulizaji anasema: Je, ni halali au haramu kuwatengea wanawake mafundisho ya kidini ndani ya misikiti? Na je, ikiwa wanaume kutoka idara ya Waqfu au Al-Azhar au watu wanaoaminika kielimu na kimaadili wakitoa mafundisho ya kidini kwa wanawake ndani ya misikiti, je ni halali au haramu? Na kama ni halali, je, ni lazima kuwepo pazia au kitu cha kuwatenganisha kati ya Shekhe na wanawake wakati wa somo?
Soma zaidi....
Muulizaji anasema: Je, kuna kizuizi cha kisharia kuhusu kuchanganyika kwa wanaume na wanawake katika nyanja ya elimu? Na anaomba maelezo ya hukumu ya kisharia kuhusu jambo hilo.
Soma zaidi....
Ningependa kuwauliza kuhusu jambo linalonihusu sana. Nina mahusiano na wenzangu wa Chuo, na – Alhamdulillah – mahusiano hayo yote ni ya juu juu tu. Lakini nina rafiki wa karibu sana ambaye ni kijana, na Alhamdulillah uhusiano wetu uko ndani ya mipaka ya heshima na maadili. Lakini nilisikia kutoka kwa rafiki yangu mmoja kuwa mazungumzo au urafiki kati ya msichana na kijana ni haramu kisharia. Hivyo ningependa mnipe mwongozo kuhusu jambo hili.
Na je, mazungumzo kupitia mtandao kati ya kijana na msichana ni haramu pia ikiwa hayatoki nje ya mipaka ya mazungumzo ya kawaida kuhusu mambo ya maisha ya kila siku?
Soma zaidi....
Nampenda msichana, na nazungumza naye kwa njia ya simu. Ninajua kuwa hatufanyi maasi yoyote katika mazungumzo yetu – Alhamdulillah. Pia nakumbuka kuwa sikubali kabisa kutoka naye au kukutana naye, ili tusije tukaanguka kwenye kosa, na nataka nipende kwa njia safi. Pia nimemfundisha mengi kuhusu Uislamu na hukumu zake. Hapo awali hakuwa akiswali, alikuwa akizungumza na wavulana na kuwasalimia kwa kupeana mikono, lakini sasa hayo yote ameacha. Hata marafiki zake wamesikia maneno yangu na wameiga mfano wake.
Kile ninachotaka kujua ni mambo mawili:
La kwanza: Je, Mwenyezi Mungu atanilipa thawabu kwa hiki nilichokifanya?
La pili: Je, mazungumzo yangu naye kwa njia ya simu ni haramu au siyo, ikizingatiwa kwamba hatuzungumzi mambo mabaya, na mazungumzo yetu mengi yanahusu Swala, Hijabu na ndoa?
Naomba mnijulishe.
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya sharia kuhusu mwanamke kufanya kazi kama mhandisi ikiwa kazi hiyo inajumuisha:
Kuwasiliana moja kwa moja na wahandisi wengine wakiwemo wanaume.
Kuna uwezekano wa mchanganyiko kati ya wanawake na wahandisi wa kiume.
Kusafiri peke yake na wahandisi wa kiume kwenye gari kwa sababu yoyote ile.
Kutembea na wanafunzi kwa madhumuni ya kuwafundisha au kujibu maswali yao.
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya kusafiri kuhudhuria mikutano kwa ajili ya dada yangu ambaye ni profesa katika Chuo cha Tiba, na atasafiri bila maharimu? Je, ni hukumu gani na masharti gani yanayohitajika kwa safari yake ili aepukane kuangukia dhambi? Jua pia kuwa ana umri wa zaidi ya miaka arobaini na tano.
Soma zaidi....
Je, inafaa kwa mfanyakazi wa kike kupanda gari na mfanyakazi mwenzake wa kiume wakiwa wawili tu ili amsindikize? Kwa sababu ninajisikia hali ya kutokuwa huru ninapowabeba wenzangu wa kike peke yao katika gari langu.
Soma zaidi....
Nini hukumu ya kusafiri kwenda katika nchi zisizo za Kiislamu kwa madhumuni ya utalii, kutazama athari na mandhari ya kihistoria ya nchi hizo, kufurahia maumbile na mambo mengine ya halali yasiyo haramu?
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya kuhusisha siku iwe sikukuu ya upendo? Tunaomba jibu lililo wazi kuhusu suala hilo!
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kisharia katika kuombaomba? Na ni ipi hukumu ya kuwasaidia ombaomba waliozagaa maeneo mbalimbali?
Soma zaidi....
Nini hukumu ya kisheria kuhusu mazungumzo ya mwanamke na mwanaume kwa kuandikia kupitia kuchati au kupitia barua pepe? Nataka jibu kamili kwa suali hilo, pamoja na kauli na maoni ya wanavyuoni na dalili zao kutoka Qur`ani Tukufu na Sunna. Ikiwa jambo hili linaruhusiwa, basi ni kwa kiasi gani?
Soma zaidi....
Je, inaruhusiwa kwa Muislamu kushiriki katika michezo ambayo mshindani anajaribu kumshinda mpinzani wake kwa kumjeruhi kichwani na mwilini mwawake?
Soma zaidi....
Mimi nimesilimu, lakini kabla ya kufanya hivyo nilipata baadhi ya pesa kutokana na kuchora michoro ya wanyama wafugwao. Nina kipaji cha uchoraji, lakini sasa hivi sina uhakika ikiwa jambo hili linaruhusiwa kwangu au la nyakati hizo. Basi sichori kamwe wanadamu au wanyama kutoka mawazo yangu, bali nategemea mapicha ya fotografia, Nimejaribu kuchora picha za mandhari ya kimaumbile, lakini kipaji changu ni katika kuchora wanyama wafugwao. Kama mfano nachora wanyama wa msitu wa Savana ya Kiafrika kutoka mbali. Je, naweza kuendelea kuchora wanyama? hiki ni kipaji changu cha pekee kinachonifurahisha ?
Soma zaidi....
Je, kucheza chess (shatranji) ni halali katika Uislamu? Na kuna ushahidi wowote kutoka katika Qur`ani Tukufu, Hadithi au kauli za Wanazuoni wanaounga mkono au kupinga hilo?
Soma zaidi....
Mimi ni Muislamu Mjerumani, isipokuwa baba yangu aliyefariki hivi karibuni hakuwa Muislamu, lakini yeye alikuwa mtu mwema, na alikuwa daima akinuia heri na kuitenda, mpaka ninaweza kusema kwamba: Yeye aliishi maisha yake kama Muislamu katika matendo yake isipokuwa dini yake ilikuwa si Uislamu. Na kwani ninampenda sana na kumheshimu kwa tabia yake ya kupigiwa mfano, kwa hivyo mimi nataka kumwombea dua. Lakini baadhi ya watu wa kituriki wananiambia kwamba Qur`ani Tukufu imekataa kuwaombea dua wasio Waislamu. Lakini katika upande mwingine, Qur’ani Tukufu inawaelekeza Waislamu kuwa daima wawe waadilifu kwa wazazi wao, hata kama wao si Waislamu. Dua ni jambo bora kabisa ambalo Muislamu anaweza kumfanyia mtu. Pia nilisoma Hadithi isemayo kwamba Muislamu atakuwa Peponi, pamoja na yeyote ampendaye. Ningependa kuwa Peponi pamoja na baba yangu mpendwa, basi nifanye nini?
Soma zaidi....
Mtoto wa kike amekuja London pamoja na wazazi wake kwa njia ya kisheria wakiwa na pasipoti, lakini baadae wazazi wakamwambia mtoto huyo (mwenye miaka 12) kuwa abadili tarehe nyingine ya (mwezi wa) kuzaliwa katika fomu rasmi ili azidishe mwaka, mtoto huyo ambaye ni wa kike, akalipinga jambo hilo lakini mwisho wake akawakubalia wazazi wake, na tangu siku hiyo akawa anatumia tarehe hiyo isipokuwa akawa anahisi tabu na masikitiko, kwani hivi sasa keshabaleghe. Na alipotengeneza pasipoti kwa mara ya pili tarehe hiyo hiyo ikaandikwa tena, na alitaka kueleza ukweli, na kuwaambia kuwa tarehe sahili (mwezi) wa kuzaliwa kwake lakini wazazi wake wakamwambia kuwa iwapo atafanya hivyo atatusababisha matatizo. Mtoto huyu afanye nini?
Hakika kwamba tarehe hiyo sasa iko kwenye pasipoti yake ya Uingereza, na msichana huyo amechanganikiwa baina ya kusema ukweli na kutii wazazi wake. Anahisi kwamba anatumia pasipoti hiyo isivyofaa na ana wasiwasi kuhusu adhabu ya Mungu kwake na kwa wazazi wake, hasa kwao, ikiwa atasema ukweli. Afanye nini?
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya kuzifanya Aya za Qur`ani Tukufu au Adhana vilio vya simu ya mkononi?
Soma zaidi....
Kazi yangu ni kuuza nguo zenye chapa bandia ambazo zinatengenezwa Tunisia, je, biashara hii ni haramu? Na ikiwa haramu, faida yake niifanyie nini? Na je! Kununua nguo zenye chapa bandia zilizosambaa katika maduka mengi hapa kwetu ni Haramu?
Soma zaidi....
Ni zipi mitazamo ya Sharia ya Kiislamu kwenye michezo ya viungo vya mwili kwa watoto?
Soma zaidi....
Ni namna gani Sharia imependekeza katika kulea mtoto asiyefahamika ukoo na zipi thawabu za hilo?
Soma zaidi....
Ipi hukumu ya kutumia mafuta mazuri kwa ajili ya mgonjwa na kumuombea duwa wakati wa kumtembelea?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya msemo: “Chochote kinachohitajika nyumbani ni haramu kwenda msikitini”?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kufanya ziara ya makaburi ya wazazi waliofariki siku ya Ijumaa kila wiki na kusoma Qur`ani kando ya makaburi yao?
Soma zaidi....
Je, kuna udhibiti wa kisharia kuhusu michezo ya kielektroniki ya burudani inayoruhusiwa?
Soma zaidi....
Ni upi ukweli wa kauli msemo wa: "Ardhi ya Misri ni Ardhi yenye baraka na ndio mama wa nchi zote"
Soma zaidi....
Ni nini ukweli wa kusherehekea Irsaa na Miraji siku ya Ishirini na Saba mwezi wa Rajabu?
Soma zaidi....
Ipi hukumu ya maadhimisho mbalimbali ya kidini kama vile kuadhimisha usiku wa Lailatul Qadri, Israai na Miiraji, mazazi ya Mtume na mengine?
Soma zaidi....
Ipi hukumu ya mtu kutegemea mtu mwingine ili kutimiza mahitaji yake kwa njia ya kuapa kwa jina la Mtume S.A.W na watu wa nyumbani kwake pamoja na Kaaba?
Soma zaidi....
Baba yangu aliniambia kabla ya kifo chake kwamba yeye anadaiwa na mtu mmoja, na nimetafuta huyo mtu sikumpata, je kunajuzu kwangu kutumia mali hii?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kutarajia shari wakati wa kuona nambari maalum au kufika siku au mnasaba maalum katika kile kinachoitwa “Kukosa matumaini?”.
Soma zaidi....
Upi wajibu wa Muislamu kuhusu yanayoibuka pembezoni mwake miongoni mwa maneno ya uzushi.
Soma zaidi....
Je, kufuatilia makosa na dhambi za watu na kutafuta kujua ni haramu? Je, unatubu vipi kutokana na hilo?
Soma zaidi....
Muislamu akiharibu mali yoyote ya wengine, je anawajibika kuilipa faida, na ni ipi hukumu ya kukubali fidia hii?
Soma zaidi....
Je kuchanganyika wanawake na wanaume ni haramu moja kwa moja Kisharia na inapaswa kutenganishwa kati yao sehemu zote?
Soma zaidi....
Nini hukumu ya kutarajia mabaya wakati wa kuona idadi maalumu au ujio wa siku maalumu au tukio katika kile kinachoitwa “nuksi”?
Soma zaidi....
Muislamu akiharibu kitu kutoka katika mali ya wengine, je anawajibika kulipa fidia yake, na ni ipi hukumu ya kukubali fidia hii?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya mtu kuapa kwa jina la mtu mwingine ili kufikia mahitaji yake kwa njia ya kuapa kwa jina la Mtume S.A.W na watu wa nyumbani kwake pamoja na Kaaba?
Soma zaidi....
Nilichukuwa kwa mmoja wa rafiki zangu baadhi ya vitu vya dhahabu kwa njia ya mkopo ni muda mrefu umepita ni vipi namrudishia hivi sasa?
Soma zaidi....
Je, kufuatilia makosa na dhambi za watu na kutafuta kuzijua ni haramu? Je, unatubu vipi kwa hilo?
Soma zaidi....
Arabic
Englsh
French
Deutsch
Urdu
Pashto
Hausa
