Je! Qur`ani Tukufu inasema nini kuhusu suala la kijana wa miaka 21 anayelala kitanda kimoja na mama yake, na pia msichana wa miaka 21 anayelala kitanda kimoja na baba yake?
Soma zaidi....
Mwanzoni, ningependa kuwapa salamu na kuwapongeza kwa tovuti hii bora, na Mwenyezi Mungu awalipe kheri kwa juhudi zenu zenye thamani katika kuhudumia Uislamu na Waislamu. Ningependa pia kupata mwongozo wenu juu ya jambo ambalo linanihusu. Mimi ni kijana ninayemiliki kiasi kidogo cha pesa, na ninawaza kushirikiana na baadhi ya marafiki ili kuwekeza sehemu ya pesa hizo kwa kufungua kituo cha michezo ya kompyuta (computer games).
Wazo letu ni kuweka idadi fulani ya kompyuta katika kituo hicho, na vijana waje kucheza michezo ya kompyuta wapendayo kwa kulipia kiasi kidogo cha pesa kulingana na muda waliotumia kwenye kifaa. Hata hivyo, baadhi ya wenzangu wamenishauri nisiingie katika mradi huu kwa kuwa wanasema ni haramu. Sijui kama wako sahihi au la. Je, niendelee na mradi huu au niuache?
Naomba ushauri wenu, kwani ninyi ni watu wa elimu katika jambo hili. Sitaki kabisa kuingia katika jambo linalomchukiza Mwenyezi Mungu, na kwa wakati huo huo ninatamani kuwekeza pesa zangu ili nipate kipato kitakachoniwezesha kuishi kwa mapana na starehe.
Soma zaidi....
Ninataka kusafiri kwenda nchi ya mbali kwa ajili ya jambo linalohusiana na kazi yangu, na huenda nikakosekana kwa zaidi ya mwezi mmoja. Nina binti mkubwa wa miaka 18 ambaye anaishi nami nyumbani. Nitalazimika kumwacha peke yake kwa kuwa yeye ni mwanafunzi katika moja ya shule, na baadhi ya walimu wema humsaidia katika masomo yake, ingawa si jamaa zake wa karibu.
Sitaki kufunga safari hadi moyo wangu utulie. Ikiwa nitamchukua binti yangu pamoja nami, atakosa manufaa ya masomo. Na nikimwacha, naogopa maneno ya watu. Hakuna mtu yeyote wa maharimu yake katika mji ninapoishi.
Je, ni upi ushauri? Je, nitoe kafara ya masilahi yangu au ya binti yangu? Tafadhali niambieni jibu kulingana na elimu yenu pana ya hukumu za sheria tukufu ya Kiislamu.
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya kumwoa mke wa baba? Je, inaruhusiwa kusafiri na mke wa baba na kuwa naye faraghani?
Soma zaidi....
Ipi hukumu ya kisharia ya mke wa baba kuwa ni haramu? Je, inajuzu kwangu kusafiri na kuwa peke yangu na mama yangu wa kambo?
Soma zaidi....
Ningependa kujua ikiwa ni wajibu kwa wazazi Waislamu kuwalazimisha mabinti wao kuvaa hijabu na kuwatisha kuwa hawatawatimizia mahitaji yao ikiwa hawatavaa hijabu?
Soma zaidi....
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, shukrani zote Anastahiki Mwenyezi Mugu, rehema na amani zimwendee Mtume wa Mwenyezi Mungu pamoja na watu wa nyumbani kwake na Masahaba zake na wale waliomfuata.
Soma zaidi....
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, shukrani zote anastahiki Mwenyezi Mungu, rehma na amani zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu pamoja na watu wa nyumbani kwake Maswahaba zake na wale wenye kumfuata kwa uzuri na kwa wema.
Soma zaidi....
Kutokana na maendeleo makubwa yaliyofikiwa ya kisayansi katika nyanja mbalimbali tumekuwa tukisikia kila siku kugundulika mambo mapya, na masuala ya tiba kwa ujumla ni katika nyanja ambazo ndani yake kunaonekana maendeleo haya, kitengo hasa cha uzazi wa kutengenezwa ni katika vitengo vya tiba vyenye kukua haraka, haupiti muda mrefu isipokuwa kupitia vyombo vya habari vinatueleza baadhi ya gunduzi za kitiba na sayansi mpya.
Soma zaidi....
Arabic
Englsh
French
Deutsch
Urdu
Pashto
Hausa
