26 Agosti 2024

Namna ya kuswali Swala ya jeneza.

Ni ipi namna ya Swala ya Jeneza.

Soma zaidi....
26 Mei 2022

Wake wa Mtume S.A.W

  Kwanini Mtume S.A.W alioa wake 9 na nini sababu ya kuoa kwake wote hao, na je Mtume S.A.W alioa wake 9 kabla au baada ya Mwenyezi Mungu kuwa amepangilia mwisho wa wake wanne? Naomba maelezo.

Soma zaidi....
01 Julai 2024

Kuuza dhahabu na fedha kwa malipo ya awamu.

Ipi hukumu za kuuza dhahabu na madini ya fedha kwa malipo ya awamu kwa kuongeza thamani katika bei ya asili?

Soma zaidi....
30 Novemba 2022

Kwanini Uislamu Umeweka Sharia ya Mume Kumwacha Mke wake?

Matni ya shaka: Imekuja Aya katika Qur`ani: {Hapana ubaya kwenu mkiwapa t'alaka wanawake} [AL BAQARAH: 236] na Qur`ani imehalalisha kwa mwanamume kwa utashi wake peke yake bila ya kurejea kwa yeyote katika anachokitaka, kuvu...

Soma zaidi....
29 Mei 2022

Adamu na Shetani

Shetani alijuaje kwamba Adamu angeshuka duniani? 

Soma zaidi....

Taarifa ya utume

Tunatoa mwongozo unaofaa, wa kisayansi ili Waislamu waweze kutekeleza imani yao katika nyakati zinazobadilika

Liyopendekezwa zaidi